• TAKUKURU YATANGAZA DAU KWA HANS POPE

  TAKUKURU YATANGAZA DAU KWA HANS POPE

 • UHAMIAJI WAZIPONGEZA SIMBA NA YANGA

  UHAMIAJI WAZIPONGEZA SIMBA NA YANGA

 • VIINGILIO VYA SIMBA NA YANGA SABABU NI HIZI

  VIINGILIO VYA SIMBA NA YANGA SABABU NI HIZI

 • HAKUNA RAHA KAMA KUWAPAPASA TANZANIA PRISONS, MBEYA CITY

  HAKUNA RAHA KAMA KUWAPAPASA TANZANIA PRISONS, MBEYA CITY

YANGA KAMBINI LEO ‘KUINYATIA’ KMC 

Jumla ya nyota 20 wa kikosi cha mabingwa wa kihstoria nchini, Yanga Sc, kinataraji kuingia kambini jioni ya leo kujindaa na mchezo wa ligi kuu dhidi wa ‘wageni’ KMC fc uliopangwa kuchezwa jumapili hii kwenye uwanja wa Taifa. Mratibu wa kikosi hicho Hafidh Saleh ameiambia  daboten.co.tz  kuwa kocha Zahera Mwinyi amejipanga kuhakikisha vijana wake wanapata matokeo kwenye mchezo huo wa...read more

YANGA YATUA MWANZA KUIMALIZA MBAO FC 

KIKIWA na jumla ya nyota 20 na viongozi 8 kikosi cha mabingwa wa kihitoria wa soka Tanzania, Yanga Sc  tayari kimewasiri jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo wa ligi siku ya jumatano kwenye uwanja wa CCM kirumba Mbele ya wenyeji Mbao Fc. Muda mfupi uliopita mratibu wa kikosi hicho chenye histoaria ya kuhifadhi taji la ligi mara 27, Hafidh Saleh...read more

TAKUKURU YATANGAZA DAU KWA HANS POPE 

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa {TAKUKURU} imemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope pamoja na Frankline Lauwo kujisalimisha katika ofisi Takukuru au Kituo cha Polisi. Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es salaam Naibu katibu mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Generali John Julius Mbungo alisema Hans Pope na Lauwo wote wanatakiwa...read more

KAMATI KULIONGOZA SOKA LA GHANA 

Kamati ya muda ya kuliongoza Shirikisho la Soka nchini Ghana imetangazwa Alhamisi hii ikiwa ni miezi michache toka Shirikisho hilo lipate kashfa ya Rushwa iliyoibulia na mwandishi Anas Aremeyaw Anas. Kamati hiyo itaongozwa na Dr. Kofi Amoah ambaye kwa vipindi kadhaa aliwahi kuwa Kiongozi wa Shirikisho la Soka Afrika na Ulimwenguni 'FIFA'. Amoah atasaidiwa na mtendaji mkuu wa zamani wa...read more

UHAMIAJI WAZIPONGEZA SIMBA NA YANGA 

BONYEZA PLAY KUSIKILIZA Kaimu afisa Uhamiaji mkoa wa Dar es salaam Novaita Mroso amezipongeza klabu za Simba,Yanga na Azam FC kwa kuendelea na mchakato wa kuwaombea vibali waajiliwa wao. Mroso ameyasema hayo leo wakati alipotoa taarifa ya udhibiti wa uhamiaji haramu nchini. Alisema kwamba klabu zote za mpira wa miguu zilizomo ndani na nje ya nchi mkoa wa Dar es...read more

SIMBA, NDANDA ‘WATOANA DAMU’ MTWARA 

BONYEZA PLAY KUSIKILIZA Mashabiki wa soka mkoani Mtwara wameanza kutambiana ikiwa ni siku mbili kabla ya mtanange wa Ligi kuu ya soka Tanzania kupigwa mkoani humo ambapo Ndanda wanawakaribisha wekundu wa Msimbazi, Simba Sc katika uwanja wa Nangwanda Sijaona. Daboten imetembelea maeneo mbalimbali ya mji wa Mtwara na kufanikiwa kuzungumza na baadhi ya mashabiki hao, huku wale wa Simba wakiahidi...read more

VIINGILIO VYA SIMBA NA YANGA SABABU NI HIZI 

Shirikisho la soka hapa nchini TFF limemeweka bayana sababu ambazo zimepelekea shirikisho hilo kutangaza mapema viingilio vya mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa Septemba 30 mwaka huu kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Afsa Habari wa TFF,Cliford Mario Ndimbo amesema kwamba mechi ambazo zinawakutanisha Simba na Yanga zinakuwa na utofauti mkubwa na baadhi ya mechi nyingine,hivyo kwa upande...read more

MGUNDA: COASTAL UNION WANAPENDELEWA? 

Kocha mkuu wa timu ya soka ya Coastal Union, Juma Mgunda amewashangaa wanaodai kuwa timu yake imekuwa ikibebwa katika michezo ya ligi kuu soka Tanzania Bara, kwani mpaka sasa hawana asilimia 100 za ushindi kama ilivyo kwa timu nyingine. “Tungekuwa na pointi tisa sasa hivi kama tungekuwa tunapendelewa kwa maana tumecheza michezo mitatu, tunajua haya ni mashindano na kumekuwa na...read more

HAKUNA RAHA KAMA KUWAPAPASA TANZANIA PRISONS, MBEYA CITY 

Wachezaji 20 na viongozi 13 wa klabu ya soka ya Ruvu Shooting wanatarajiwa kusafiri asubuhi ya Alhamis (kesho) wakitokea mkoani Pwani kuelekea jijini Mbeya kwa ajili ya michezo miwili ya ligi dhidi ya Tanzania Prisons na Mbeya City. Ruvu Shooting watakuwa na michezo miwili jijini Mbeya ambapo kwanza watacheza na Tanzania Prisons jumamosi ya Septemba 15 kabla ya baadaeSeptemba 19...read more

YONDANI AANZA MAZOEZI YANGA 

MKUU wa kitengo cha utabibu kwenye kikosi cha mabingwa wa kihistoria wa soka nchini, Yanga Sc, Dr Edward Bavu,amethibitisha kuwa mlinzi Kelvin Yondani leo ameanza mazoezi rasmi sambamba na wachezaji wenzake baaada ya kuwa nje kwa siku kadhaa  kufuatia majeraha. Akizungumza na Daboten mapema leo Dr Bavu amesema kuwa Kelvin, alipata majeraha, akiwa mazoezini na kikosi cha timu ya taifa...read more

Page 1 of 7 1 2 3 4 5 6 7